Makapuku Forum

Amen baby...
Asante na ubarikiwe
Hapa ndio nakupenda zaid....hivi baby umelelewa kwenye familia ya kilokole eehh
Kabisa mpenzi wangu hata mtumishi jambilo analifahamu hili na amekuwa akinialika mara kwa mara kwenda kutoa semina nyumban mwa bwana..Kwa hiyo mke upo kwenye mikono salama kabisa ni wewe tu kulala usingizi mnono kwani hakuna kitakachoweza kukugusa ukiwa kwenye mikono hii..Nakupenda mke wangu..
 
Hayo maneno
amazing kama dada mwenyewe
 
Asante lovely husband
Love you sanaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…