Sawa mkuu.,kumbe wewe ndiye ulikuwa unapiga maombiLazima ni like sana alipopotea ulilalamika sana ili bidi nifanye maombi arerjee, kwann nisilike
Mkuu hii ndo approach yako nini! Ulizia mshenga wa huku utasaidiwa shida yakoKAMA UTANIPENDA SITOJALI SHIDA ULIZOBEBA ................................KATAFUTE REFA WA KUKUBEBA
Ntakushukuru sana shemeji wanguNtaongea nae![]()
![]()
Nakuona shem una raha mno kiasi kwamba hata mtu akija kukopa ela yaani chap umechana wallet..

Mkuu hii ndo approach yako nini! Ulizia mshenga wa huku utasaidiwa shida yako
Hii ni dalili ya kutoswa.KAMA UTANIPENDA SITOJALI SHIDA ULIZOBEBA ................................KATAFUTE REFA WA KUKUBEBA
Hii ni dalili ya kutoswa.
Umesahau nn mkuu mbona nikwambia atarudi!Sawa mkuu.,kumbe wewe ndiye ulikuwa unapiga maombi
Sasa umemwona nani niambie niseme naemkuu hebu nisaidie bas nipate mmoja huku nimekuja na bandiko langu
Aseme haraka na yeye tumuite shemejiSasa umemwona nani niambie niseme nae

Mshana jr alianza kurusha yale madude yake ili shem awe wake, amekutana na nguvu ya ajabu kapotea mazimaMtumish nilikuwa nimesahau kidogo ila nashukuru kwa kunikumbusha amaizing my wife huko kwenye maombi yako usisahau kuwaombe wote upofu wanaokutazama kwa jicho husda..wakikuona wewe wamwone shemeji yao...Natangulia kusema Amen
Sasa umemwona nani niambie niseme nae
Asante mkuuUmesahau nn mkuu mbona nikwambia atarudi!
Hapa amefika aseme apewe haki yakeAseme haraka na yeye tumuite shemeji![]()
Haya maombi makali sana...upofu tena!!Mtumish nilikuwa nimesahau kidogo ila nashukuru kwa kunikumbusha amaizing my wife huko kwenye maombi yako usisahau kuwaombe wote upofu wanaokutazama kwa jicho husda..wakikuona wewe wamwone shemeji yao...Natangulia kusema Amen