Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Love you too dawa yangu..Love you honey
Love you too dawa yangu..Love you honey
Mwbie akuambie kwanini anaitwa pimbi na muweka hazinakisheti mana yake nn vijana mnaniacha mbali na misemo yenu
Alifanya nini bibie tuambieMmh nikimkumbuka yule ray van sina ata hamu
HubbyLove you too dawa yangu..
hahahhh mnamlindiaTupo sisi hapa asife kwa wivu
ni kweli shemAkomae tuu! Porini kuna hela sana.
Just play strategically..! You will score..
kiungo gan si ufafanue tuKisheti ni kiungo
Pimbi najua sababu hafanikiwi kwenye mitongozoMwbie akuambie kwanini anaitwa pimbi na muweka hazina
muweka hazina sio kwamba anatunza pesa
unajifanya humjui na wkt n ww hana heshima anaropokwa tu uhuni uhuniAlifanya nini bibie tuambie
Sawa ma wifeJamani, poleni na mihangaiko ya kutwa nzima.
Mie niwatakieni wote usiku mwema na wenye utulivu tele, Mungu wangu na awalinde wote na kuwapa wepesi wote wanaoumwa. Mie nalala Mungu akijaalia tutakutana tena kesho.
T sukari yangu, barafu yangu, moyo wangu na mume wa Malengo yangu unajua venye Nakupendaga mpaka baba mkwe anaona wivu
Naomba nilale mume wangu. Ulale salama sweetie
Msamehe tu shemelaunajifanya humjui na wkt n ww hana heshima anaropokwa tu uhuni uhuni
usiku uwe salama na kwako pia tunawapenda sanaJamani, poleni na mihangaiko ya kutwa nzima.
Mie niwatakieni wote usiku mwema na wenye utulivu tele, Mungu wangu na awalinde wote na kuwapa wepesi wote wanaoumwa. Mie nalala Mungu akijaalia tutakutana tena kesho.
T sukari yangu, barafu yangu, moyo wangu na mume wa Malengo yangu unajua venye Nakupendaga mpaka baba mkwe anaona wivu
Naomba nilale mume wangu. Ulale salama sweetie
mm najua kama mondray anapenda utani ila yule ray van wako hapana aiseeMsamehe tu shemela
Mondray yupo cool tu with others
Sema tu jokes zake mnazichukulia siliaz
Niambie alichokuudhi au alichokuambia kikakuudhi madammm najua kama mondray anapenda utani ila yule ray van wako hapana aisee
hamna alichoniudhi kabisa bas tu naona utoto utoto tu kwake umejaaNiambie alichokuudhi au alichokuambia kikakuudhi madam
Alikua bado mgeni kipindi kile msamehe.hamna alichoniudhi kabisa bas tu naona utoto utoto tu kwake umejaa
sawaAlikua bado mgeni kipindi kile msamehe.
Wakati mwingine unaweza ukapendwa na mwanamke hadi ukajihisi humpendi..Jamani, poleni na mihangaiko ya kutwa nzima.
Mie niwatakieni wote usiku mwema na wenye utulivu tele, Mungu wangu na awalinde wote na kuwapa wepesi wote wanaoumwa. Mie nalala Mungu akijaalia tutakutana tena kesho.
T sukari yangu, barafu yangu, moyo wangu na mume wa Malengo yangu unajua venye Nakupendaga mpaka baba mkwe anaona wivu
Naomba nilale mume wangu. Ulale salama sweetie
Kiungo mchezeshaji uwanjanikiungo gan si ufafanue tu