Da nadhan nguvu hii ndiyo imemponya hata shemeji yangu Patience123 maana kama vile mshana jr alikuwa anamng'atia vidole mbaya..Hapo ndipo ninaamin wewe ndugu yangu ni si mtumish wa uongo..Mshana jr alianza kurusha yale madude yake ili shem awe wake, amekutana na nguvu ya ajabu kapotea mazima
Sasa shemeji watu wale wanaomwangalia shemeji yangu Nahrene kwa jicho la husda we ungependa waombewe maombi gani zaid ya kupigwa upofu ule wa rohon ili wamwache shemeji yangu akipita apite siyo anapita...watu psiiiii..psiii...No piga upofu wote hao..Haya maombi makali sana...upofu tena!!
Mkuu aliye upande wetu ni mkuu sana, nimwogope nani?Da nadhan nguvu hii ndiyo imemponya hata shemeji yangu Patience123 maana kama vile mshana jr alikuwa anamng'atia vidole mbaya..Hapo ndipo ninaamin wewe ndugu yangu ni si mtumish wa uongo..
Mkuu are you okay?
Oooh hapo umechelewa hawa nilishawaunganisha tayari...yupo jimena lakini ni akili kubwa kummiliki yahitaji maarifa na upendo mzito sana, waonaje niseme nae?amaizing mkuu na nahrene mmoja wao
Sijakusoma vizuri mkuu.Naona kuchawiwa kwenye alert yangu, eti page ya notification za like yangu zinashuka. Hadi sasa zinasoma page 51 na wakati zilikuwa zaidi ya page 100, sijui tatizo ni nini?
Mmh.....Mtu na dada yakeamaizing mkuu na nahrene mmoja wao
Aisee shemeji nilikuwa sijui kama una wivu mkali kiasi hiki.Sasa shemeji watu wale wanaomwangalia shemeji yangu Nahrene kwa jicho la husda we ungependa waombewe maombi gani zaid ya kupigwa upofu ule wa rohon ili wamwache shemeji yangu akipita apite siyo anapita...watu psiiiii..psiii...No piga upofu wote hao..
Umemaliza mtumish na umenikumbusha Methali 28:1 inasema...‘’Waovu hukimbia wasipofuatiwa na mtu; Bali wenye haki ni wajasiri kama simba. Barikiwa sana..Mkuu aliye upande wetu ni mkuu sana, nimwogope nani?
Pia vita vyetu sio juu ya damu na nyama...mshana jr anaelewa hili
Anataka kula kuku na yai lake..Mmh.....Mtu na dada yake
Oooh hapo umechelewa hawa nilishawaunganisha tayari...yupo jimena lakini ni akili kubwa kummiliki yahitaji maarifa na upendo mzito sana, waonaje niseme nae?
Huyu hatamuweza JimenaOooh hapo umechelewa hawa nilishawaunganisha tayari...yupo jimena lakini ni akili kubwa kummiliki yahitaji maarifa na upendo mzito sana, waonaje niseme nae?
Na alegee kabisaAnataka kula kuku na yai lake..
Ashindwe na alegee