Makapuku Forum

hahahah unipe bwana nataka uwe wifi yangu wa pembeni [emoji23]
Akuu nikiachika ntaenda wapi na huu ubibi gagula in mange's voice...mwisho nizalishwe tu nbaki kulea mtoto peke yangu ka mushroom[emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna mpangaji wetu kazalishwa na mchezaji jamani ana maisha maguuumu khaa, yan hao wachezaji huwa wako tee tu nawao
 
wanachojali n familia zao tu kwingine nahisi wanalingia jina na wakiona mtu unashoboka kwa ajili ya jina lao ndio wanapokuingia nilikua naona enzi hizo BBM acha tu
 
wanachojali n familia zao tu kwingine nahisi wanalingia jina na wakiona mtu unashoboka kwa ajili ya jina lao ndio wanapokuingia nilikua naona enzi hizo BBM acha tu
Yan hata hizo familia zao wasipokua na akili zinapotea tu maana hawana maisha ya uhakika....

Kajisemea mama angu bora upate mwanaume anaefanya kazi serikalini hata pension ipo uzeeni[emoji23][emoji23][emoji23] mama angu nae huwa ananiuziii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…