Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Achana naee[emoji15][emoji15][emoji15]
Achana naee[emoji15][emoji15][emoji15]
Chakula tayari mume wangu, Naomba uwakaribishe mawifi na mashemeji twende mezaniNaam mke wangu
Wewe unaliafiki hilo? je ukizidiwa usiku?amesafiri lkn hataki mashemeji mje kama yy hayupo
[emoji23][emoji23][emoji23]Abaki nae moyoni tuu, mlengwa atajua tuu. Kuliko kutaja kumbe ni mume wa mtu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eeeh
Hata kama unamhisi na wewe nyamaza bwana
mimi apaIlaaa weweee
hhHahahahha[emoji23][emoji23][emoji23]naomba asiwe Livi maana ntalazimika kupiga goti
teh tehKho Kho Kho
Ntakutumia kesho na Ngorika wiiimbege wiii nimeimiss
Aya love....nimekumiss[emoji7]Achana naee
eb tumuulize anaenda wapiAnakimbilia wapi, kwani ameona bunduki au Lee rapa bhana
MtakomaaaaUnaeza kuta ni mmoja wa waume zetu jamani[emoji85][emoji85][emoji85]....mama mchuchu plz tuweke wazi
Daaah! Mkuu sasa hivi nimekuwa mpole...ngoja tarehe za 15 huko april..ME pia ndo namalizia hapa nimemiss kitu cha bariiidiii!
MmmmmmmhChakula tayari mume wangu, Naomba uwakaribishe mawifi na mashemeji twende mezani
aiseeeeTunakagua tukizidiwaga [emoji85] [emoji85] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asante mume wangu, asali yangu, roho ya mie na baba wa watoto wangu. [emoji182] [emoji182] [emoji182]Love you utamu wangu
AtasemaaaWewe unaliafiki hilo? je ukizidiwa usiku?
Alafu kwani utamwambia kama nilikuja?
hahahhah taja banaIla mimi kuna mtu namhisi[emoji87][emoji87][emoji85]
hahhahahhha eb acha kunichekeshaYaani, mie sio dume ila nafanana na babangu copy, na minguvu Kishenzi. We ukitaka msaada wa kupigana niite
Shinie na wewe unakula mbege?mbege wiii nimeimiss