Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Nimekumismimi apa
Nimekumismimi apa
Unatamani kitambi siombege wiii nimeimiss
ahhaahhah halaf hii kitu naskia kama mara ya 3 hivi ni kweliKule 80% ni shemale aisee!![]()
HahahaUnaeza kuta ni mmoja wa waume zetu jamani....mama mchuchu plz tuweke wazi
Kwenye orodha hiyo jiondoee mamyUnaeza kuta ni mmoja wa waume zetu jamani....mama mchuchu plz tuweke wazi
aiseeee
Au tunakosea? tatizo lenu nyie siku hz wajanja wajanja sana,
uwiiiiiii asiwe lee wangu nitakufwaaaa mzima mzimaEeeh
Hata kama unamhisi na wewe nyamaza bwana
na kwaresma hiiME pia ndo namalizia hapa nimemiss kitu cha bariiidiii!
Vipi tarehe dume nini?Daaah! Mkuu sasa hivi nimekuwa mpole...ngoja tarehe za 15 huko april..



Nitakufwaaaa eb tuachane na hii kitu kama mama mchuchu hataki kumtajaUnaeza kuta ni mmoja wa waume zetu jamani....mama mchuchu plz tuweke wazi
Sawa love, bora umentuliza moyoo...mimi muoga sana mwenzio kuibiwa, i have a fragile heartKwenye orodha hiyo jiondoee mamy
MuulizeeShinie na wewe unakula mbege?
Wakuu ,Chakula tayari mume wangu, Naomba uwakaribishe mawifi na mashemeji twende mezani
Hatufungi weekend, tutakosa kushiriki meza ya bwanana kwaresma hii
naliafiki sana baba ameshaongea, kuzidiwa ni kujiendekeza tuWewe unaliafiki hilo? je ukizidiwa usiku?
Alafu kwani utamwambia kama nilikuja?
Ahaaaaaaah mahaba niuetena nilivyomuogaa
JaribuuuAu umemfunga device?![]()