Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Sorry kiongoziiMkuu
Sorry kiongoziiMkuu
Mmh aya...ila nadhan ni mshtuko tuNo sio period..
Mmoja alivaa hadi pedi usiku..lakini asbh anakuta sio period..
Anyway poleni sana..
Wakuu Muombe wagonjwa...!
Nampendraaa afu mnavozidi kuongea ndo hisia zinanpanda zaidii....kweli mapenzi humea kama mbegu....Na wewe kila saa live livi kwanii shedede hayupoooo
Sio mimba tenaShunie ni malaria mkuu
Best couple humu ya kwanza kabisa lee&shunieNampendraaa afu mnavozidi kuongea ndo hisia zinanpanda zaidii....kweli mapenzi humea kama mbegu....
[emoji23][emoji23][emoji23]Sorry kiongozii
[emoji23][emoji23][emoji23]jamani mnaweka matabaka....BTW: sie yetu yatuendeaBest couple humu ya kwanza kabisa lee&shunie
Inayofuata Mr T and sakayo
Wengine jipange
Kajipangee aiiiiseeeeh[emoji23][emoji23][emoji23]jamani mnaweka matabaka....BTW: sie yetu yatuendea
Acha kujipa ujiko joooh.Best couple humu ya kwanza kabisa lee&shunie
Inayofuata Mr T and sakayo
Wengine jipange
Maswali ya familia hayoSio mimba tena
Hamtawezaa....na hiko kikao chenu kitavamiwa na mabundukiKajipangee aiiiiseeeeh
Kwanza kufikia jioni ishavunjika na liv wakoo
Morning mooMorning Kapukuz
Hope mko bomba
Mm nipo bomba
Bhinamu obe kwanza mgambo tutaogopa nini sasaHamtawezaa....na hiko kikao chenu kitavamiwa na mabunduki
Morning mkuuMorning Kapukuz
Hope mko bomba
Mm nipo bomba
Ushaaanza [emoji23][emoji23][emoji23]Best couple humu ya kwanza kabisa lee&shunie
Inayofuata Mr T and sakayo
Wengine jipange
Mungu anamuona[emoji23][emoji23][emoji23]jamani mnaweka matabaka....BTW: sie yetu yatuendea
Niachie bhasi Queen wanguSorry kiongozii
Jooh! Eti hayo ya lee ni kweli..?Acha kujipa ujiko joooh.