Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,788
Haya fumba macho na tuombe,ila unatakiwa ufumbe nikiwa mimi peke yangu,ukiwa na baba mtumishi usifumbe tasavali.Bado tunasikilizia maombi tu kutoka kwenu watumishi wenye upako.......
Cc: padre jambilo
Anaenda kulia, anafanya mabadiliko.Sasa huyu anaenda wapi?
Khaaa!Anaenda kulia, anafanya mabadiliko.
Powaaaazmakapukuz niaje humu ndani?
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Khaaa!
Kwema kabisa mkuu,mambo vipi?makapukuz niaje humu ndani?
Kipengele cha kuungama kipo? Nataka nitaje dhambi zangu Kabla ya maombi kuanza,Haya fumba macho na tuombe,ila unatakiwa ufumbe nikiwa mimi peke yangu,ukiwa na baba mtumishi usifumbe tasavali.
Ni poa sanaaaaaaaaamakapukuz niaje humu ndani?
MabadilikoSasa huyu anaenda wapi?
ujumbe unawafikia na kuwaingia taratiiiiiiiiiiibu.hatuwezi kuabudu watu wenye chuki na makapuku, wanapost upuuzi wanapewa ufagio wa milele.. Hii ni namba mpya, mapambano mapya.. Kucheka na adui ni kukubali kuuza siri zako.. Kama wao wakongwe basi sisi ni wajuzi lakini wenye Ujuzi kuliko wao...
Usijali mkuu.Ile thread nimeanzisha msinitupe mkono
Mimi sijailewa vizuri!Ile thread nimeanzisha msinitupe mkono
wapi huko twendeIle thread nimeanzisha msinitupe mkono
Amina amina kondoo wa bwana. Huduma ya kuungama ipo,ila tunachaji 10'000= kwa kila dhambi ndogo,kiwango kinapanda kulinga na ukubwa wa dhambi,utapigiwa gharama baada ya maungamo mpendwa katika bwana...Hapa ni hela tu,,,kazi kwa Ngosha.Kipengele cha kuungama kipo? Nataka nitaje dhambi zangu Kabla ya maombi kuanza,
Kuhusu baba mtumishi macho sitafumba ondoa shaka, najua udhaifu wake ni kwa madada kama mie[emoji133]
Like nyingi zitaifanya wajuaji waje wajibuMimi sijailewa vizuri!
OkayLike nyingi zitaifanya wajuaji waje wajibu
Share hapa ili watu wote tuione kwa urahisi mkuuIle thread nimeanzisha msinitupe mkono