Makapuku Forum

Hiyo ya baraza la mawaziri au?
Ilipigwa block zen imerudishwa
Mkuuu bora nikaamie kwa mseveni
Sasa tunaamini yule mwenye tako kubwa ni girlfriend au first lady wa mkulu sio bure

Nape wala hajapoteza sana maana ni mbunge...pia kajijengea heshima

Mwakyembe aliyepelekwapelekwa na Lissu ndo atawaweza watoto wa mjini Clouds?
.....
 
Ni hivi mwakyembe anaweza akashindwa ila mamlaka ya juu inaweza ndugu. Utawala ni balaa.

Swali la kizushi.

Umemmiss kikwete?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…