Kweli mkuu kazi ipo wanatuonea sanaTuacheni utani
Mwarsbu kwa Yanga ni kaa la moto bora tungekomaa na Zanaco yasingetukuta hata......halafu najiuliza kwanini kila siku timu za Bongo zinamalizia ugenini dhidi ya Waarabu na timu za West Africa kila hatua wanazokutana maana kwa UEFA taratibu zinajulikana ila kwa CAF iwe raundi ya kwanza,pili, makundi mara karibu zote tunamalizia ugenini
Bora Hayatou kang'olewa
......
Mmi alichoshaaa kila post yake nachekaanafurahisha ila, hajajua kama blessed ni she!
Hatari tupu mkuuTuacheni utani
Mwarsbu kwa Yanga ni kaa la moto bora tungekomaa na Zanaco yasingetukuta hata......halafu najiuliza kwanini kila siku timu za Bongo zinamalizia ugenini dhidi ya Waarabu na timu za West Africa kila hatua wanazokutana maana kwa UEFA taratibu zinajulikana ila kwa CAF iwe raundi ya kwanza,pili, makundi mara karibu zote tunamalizia ugenini
Bora Hayatou kang'olewa
......
Jana nilikua nacheka peke yangu usikuMmi alichoshaaa kila post yake nacheka
Ila aliwasogeza usiku kinomaaaJana nilikua nacheka peke yangu usiku
Kweli mkuu kazi ipo wanatuonea sana
Tuaubiri bosi mpya km ataweza kuinyoosha CAFHatari tupu mkuu
Yah....hapanick ovyo maana ningekua mimi ningemute kimyakimya! Na raha ya jf ujiunge ukubwani maana ukijiunga mtoto ka nilivyojiunga mimi lazima upanic.....though sijutii kukua na jfIla aliwasogeza usiku kinomaaa
Na yeye ana moyo make angelikuwa mwingine tungelitofautiana mapema na wenge zake
Ila kwenye mchujo usimsahau mchizi
Hope soo make tumechokaTuaubiri bosi mpya km ataweza kuinyoosha CAF
...
Ahaaaaah umetishaYah....hapanick ovyo maana ningekua mimi ningemute kimyakimya! Na raha ya jf ujiunge ukubwani maana ukijiunga mtoto ka nilivyojiunga mimi lazima upanic.....though sijutii kukua na jf
Hahaha...Moo hana uvumilivuAhaaaaah umetisha
Jamaa nimemkubari make mondray alimshindwa
Hahaha...Moo hana uvumilivu
Poa Livi, mzima?Mambo mrembo
Na mm alikuwa mwanzoni kanichoshaHahaha...Moo hana uvumilivu
Hata mimi, ila kajua kuendana na mazingiraNa mm alikuwa mwanzoni kanichosha
Ila nimecheka mpaka basi
KAPUKU raha kweli kweli
Mi mzima kabisa hofu na mashaka ni juu yakoPoa Livi, mzima?
Niko poa tyuuMi mzima kabisa hofu na mashaka ni juu yako
AwwwTuwe na Siku njema wakuuu...nilipita kusalimia ila mrembo kan ntakumis sana