Makapuku Forum

Hatujambo shemeji....tulikuwa kwenye maombi mazito sana,si unajua taifa linahitaji uponyaji kutokana na majeraha ya kifisadi? Tunaomba pia kwa ajili ya kuokoka mshana jr .

T
Shem wacha na mimi niseme Amen kwa maombi hayo mliokuwa nayo na baba mtumish jambilo ila tahadhar usimtaje taje huyo mtu mshana jr maana nasikia anauwezo wa kukuchukua usiku kutoka kwenye mikono ya mtumishi akakupeleka kwake mkaimba na kusifu saaaaana na asubuhi akakurudisha kwa mtumishi ukiwa hoi na nadhan itabid iwe siri yako tu na wewe mtumish hutowesha mwambia..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…