EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Asante kwa ulinzi wako uliotukuka, karibu pia kwa kukagua usalama.Nipo mkuu,usiku nalinda likes,sa hizi nimeingia kuangalia usalama
Asante kwa ulinzi wako uliotukuka, karibu pia kwa kukagua usalama.Nipo mkuu,usiku nalinda likes,sa hizi nimeingia kuangalia usalama
Mbuluu mambo?Mbulu.
Anasema amewapa fursa ya kumtaja![]()
![]()
![]()
![]()
Le mburulazzzzz
Le shati kubwazzzzzz
U know
I'm humbled
Le Mutuz
...............
Poa jambiloMbuluu mambo?
Le Mpenda misifazzz![]()
![]()
![]()
![]()
Le mburulazzzzz
Le shati kubwazzzzzz
U know
I'm humbled
Le Mutuz
...............
Love you too baby..Enjoy your day..Nimeamka salama bby
Good day
Love yuuuu![]()
![]()
Nimefurahi sana wifi kuwa wote mko safi, asante na iwe kwako piaNi poa sana my Wii
Uwe na Siku yenye furaha, Upendo , na aman na roho ya mafaniko iwe nawe my lovely Wifi
Hatujambo dear wifi, mambo vipi?Hajambo kabisa
Kazi zimembanaJamaa Th Name hajambo?
Nimeona anaingia kwa kubeep humu ndani.
Shem, mr mzima?Morning! Naona ni siku nzuri tena sasa tusukume gurudumu la maendeleo
Vijana ni lazima tulitumikie Taifa, huku tukipata kiburudisho murua cha jf team Makapuku.Morning! Naona ni siku nzuri tena sasa tusukume gurudumu la maendeleo
Hatuna roho mbaya hata kidogoHapo ndo utapogundua wanawake wana roho mbaya.

Hahah nyie watu hongereniiLove you too baby..Enjoy your day..
Pambana mukuuVijana ni lazima tulitumikie Taifa, huku tukipata kiburudisho murua cha jf team Makapuku.
Mr gani anaezungumziwa hapa?Shem, mr mzima?
I hope tutajumuika nae hapo baadae kwenye mapumziko.Kazi zimembana
Powaaa my wifi! Mzima ww?Hatujambo dear wifi, mambo vipi?
Tunalisongesha kama kawaida Mkuu.Pambana mukuu