Kasi ya huu uzi inanitisha.
Asubuhi ilikuwa nampongeza
Shunie kwa 146k saa hizi ushafika 147k.
Kama ni gari basi Ngorika ya kipindi kile kabla ya tochi. Au Allys Sports Bus, Dar MWANZA spidi yake sio ya kitoto.
Mimi naeasubiria nitusue 150k ili nikae kwenye vitabu vya kumbukumbu.