Ikakubidi umsamehe tena!!?Nilimpiga chini ila nikakosa wa kureplace position yake
Helloooo,uko poa?Hellooooo!
Shemeji uko poa?Morning Jimena
![]()
Makapuku mziki mnene
Ngoja nicheze sebene
Wanatisha km senene
Usipowapa 5 unawapa 8
Makapuku wanashambulia km mchezaji # 8
Nasisi tunakuja kwa kapuku tubanane
................

Wewe ni msaliti.Aisee ungeniambia ningemuacha hata huyu wangu.![]()
![]()
![]()
Salama kabisa Mkuu. Habari ya baridi ya asubuhi!kapuku'z habari za humuu? mmeamka salama...
Niko poa sana Shemeji sijui wewe umeamkaje..?Shemeji uko poa?
Hata mimi niko mzima wa afya.Amen katika jina la Bwana.
Upande wangu ni mzima wa afya
Niko swalama kabisa.Niko poa sana Shemeji sijui wewe umeamkaje..?
Namshukuru Mungu niko mzima wa afya kaka youngblood.Salama kabisa mkuu EMMYGUY.
Hope umeamka salama salmin.
Nashukuru kusikia hivyo nikiamini kila kitu kiko undercontrol yako na mlikuwa pamoja kabisa na shemeji yangu..Niko swalama kabisa.
Sawa mkuu karibu.Namshukuru Mungu niko mzima wa afya kaka youngblood.
Kabisa mkuu kila kitu kimekaa poa.Nashukuru kusikia hivyo nikiamini kila kitu kiko undercontrol yako na mlikuwa pamoja kabisa na shemeji yangu..