amaizing
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 3,616
- 12,398
Nimeamka salama bbyMy one and only mpenzi..Nimeamka poa sana nashukuru ...Sijui wewe mpenzi wangu?
Good day
Love yuuuu

Nimeamka salama bbyMy one and only mpenzi..Nimeamka poa sana nashukuru ...Sijui wewe mpenzi wangu?

mmh! labda kwa wale wavivu wa mazoezi!Najua kwa baridi ya leo kuna watu watakuja na mbwembwe nyingi.
Kweli bwana naona zimefika kumiKwa mara ya kwanza nimepata like tangu 2012
Afya njema ndo niliyonayo, vipi wewe umeamka salama!Mmeshaamka?
Iko amazing na ni happy day kwangu...

Mbona wapo wengi sana, subiri utawaona.mmh! labda kwa wale wavivu wa mazoezi!
Tupo salama kabisa.Mko poa wote? Nawasalimu wote katika upendo na amani![]()
Aisee hii inabidi iingie kwenye Guinness world record.Kwa mara ya kwanza nimepata like tangu 2012
Akuu! Mie sio mbea.![]()
![]()
![]()
usimwambie mtu.
Asante Mkuu, nshakaribia tayari.Sawa mkuu karibu.
haha hao watakuwa wanaugua mapenzi kwa kisingizio cha baridi ,..Mbona wapo wengi sana, subiri utawaona.
ThanksIko amazing na ni happy day kwangu...
Happy day to you bro![]()
![]()
Ni poa sana my WiiMko poa wote? Nawasalimu wote katika upendo na amani![]()
Kwenye hiyo avatar yako, nani mjanja kati ya wa 1 na wa 2?Oyo mniadi mazee