Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,944 Reaction score 831,469 Apr 19, 2016 #14,541 cute b said: Sawa na nini tena? Click to expand... Hiyo tu usivae chochote kingine kisha twende msata
cute b said: Sawa na nini tena? Click to expand... Hiyo tu usivae chochote kingine kisha twende msata
C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,878 Reaction score 34,292 Apr 19, 2016 #14,542 Nyanda Dindai said: Replacing him loading...... Click to expand... 56% remaining hr 7min45...
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 Apr 19, 2016 #14,543 MANDELAA KIWELU said: kapuku'z habari za humuu? mmeamka salama... Click to expand... Swalama kabisa mkuu,Bwana Mungu wetu ni mwema kwa watu wake.
MANDELAA KIWELU said: kapuku'z habari za humuu? mmeamka salama... Click to expand... Swalama kabisa mkuu,Bwana Mungu wetu ni mwema kwa watu wake.
C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,878 Reaction score 34,292 Apr 19, 2016 #14,544 EMMYGUY said: Nawasalimu katika jina la bwana, habari za asubuhi. Click to expand... Habari salama kabisa. Karibu nipo shift ya asubuh leo
EMMYGUY said: Nawasalimu katika jina la bwana, habari za asubuhi. Click to expand... Habari salama kabisa. Karibu nipo shift ya asubuh leo
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 Apr 19, 2016 #14,545 cute b said: 56% remaining hr 7min45... Click to expand... Aisee mamende watapigana humu.
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Apr 19, 2016 #14,546 sumbai said: Fresh tuu braza.... Mambo yanakwendaje Click to expand... Yanaenda poa sana
C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,878 Reaction score 34,292 Apr 19, 2016 #14,547 mshana jr said: Hiyo tu usivae chochote kingine kisha twende msata Click to expand... Utanigegeda wew sitakiiiiiiii
mshana jr said: Hiyo tu usivae chochote kingine kisha twende msata Click to expand... Utanigegeda wew sitakiiiiiiii
C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,878 Reaction score 34,292 Apr 19, 2016 #14,548 youngblood said: Achana na yaliyopita,wewe ukimpiga chini tena nishtue najua contact zangu unazo. Click to expand... sawa sawa
youngblood said: Achana na yaliyopita,wewe ukimpiga chini tena nishtue najua contact zangu unazo. Click to expand... sawa sawa
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Apr 19, 2016 #14,549 Makapuku mziki mnene Ngoja nicheze sebene Wanatisha km senene Usipowapa 5 unawapa 8 Makapuku wanashambulia km mchezaji # 8 Nasisi tunakuja kwa kapuku tubanane ................
Makapuku mziki mnene Ngoja nicheze sebene Wanatisha km senene Usipowapa 5 unawapa 8 Makapuku wanashambulia km mchezaji # 8 Nasisi tunakuja kwa kapuku tubanane ................
C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,878 Reaction score 34,292 Apr 19, 2016 #14,550 peterchoka said: mbona vingine huogopi Click to expand... Vingine vitraaaaam
Sinoni JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 7,043 Reaction score 12,527 Apr 19, 2016 #14,551 cute b said: Mimi poa kabisa Click to expand... Powa poa, hata hapa pia tupo njema ! furahia asubuhi yako
cute b said: Mimi poa kabisa Click to expand... Powa poa, hata hapa pia tupo njema ! furahia asubuhi yako
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Apr 19, 2016 #14,552 cute b said: Vingine vitraaaaam Click to expand... Mmmmh. Kama vipi?
Lumbi9 JF-Expert Member Joined Oct 12, 2014 Posts 8,738 Reaction score 12,428 Apr 19, 2016 #14,553 cute b said: Vingine vitraaaaam Click to expand... wacha weee!
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,722 Apr 19, 2016 #14,554 mshana jr said: Ione kwanza for future useView attachment 340471 Click to expand... khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kazi ipo sasa
mshana jr said: Ione kwanza for future useView attachment 340471 Click to expand... khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kazi ipo sasa
Dindai JF-Expert Member Joined Mar 12, 2012 Posts 933 Reaction score 1,665 Apr 19, 2016 #14,555 Asubuhi njema makapuku Baadae
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 Apr 19, 2016 #14,556 cute b said: Utanigegeda wew sitakiiiiiiii Click to expand...
Sinoni JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 7,043 Reaction score 12,527 Apr 19, 2016 #14,557 youngblood said: Swalama kabisa mkuu,Bwana Mungu wetu ni mwema kwa watu wake. Click to expand... Na fadhila zake ni za milele kwetu..
youngblood said: Swalama kabisa mkuu,Bwana Mungu wetu ni mwema kwa watu wake. Click to expand... Na fadhila zake ni za milele kwetu..
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 Apr 19, 2016 #14,558 Nyanda Dindai said: Asubuhi njema makapuku Baadae Click to expand... Poa mkuu nakutakia asubuhi njema,mwenyezi mungu akuongoze huko uendako.
Nyanda Dindai said: Asubuhi njema makapuku Baadae Click to expand... Poa mkuu nakutakia asubuhi njema,mwenyezi mungu akuongoze huko uendako.
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,415 Apr 19, 2016 #14,559 cute b said: Mimi sijui nitafanyaje, yaani yeye kaamka kwenda kuuliza marafiki zake kuhusu wake zao wameamkaje Click to expand... Kazi kweli kweli, kwangu hajafika bado.
cute b said: Mimi sijui nitafanyaje, yaani yeye kaamka kwenda kuuliza marafiki zake kuhusu wake zao wameamkaje Click to expand... Kazi kweli kweli, kwangu hajafika bado.
manuu JF-Expert Member Joined Apr 23, 2009 Posts 4,064 Reaction score 10,745 Apr 19, 2016 #14,560 Patience123 said: manuu shemeji yangu,simuoni jambilo wangu,mwambie moyo wangu uko taabani,aje anipe tiba tasavali Click to expand... Gud morning Shemeji bila shaka umeamka salama na ndugu yangu jambilo
Patience123 said: manuu shemeji yangu,simuoni jambilo wangu,mwambie moyo wangu uko taabani,aje anipe tiba tasavali Click to expand... Gud morning Shemeji bila shaka umeamka salama na ndugu yangu jambilo