Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Morning brazaGood morning baba lizz
Msalimu shemej
Morning brazaGood morning baba lizz
Msalimu shemej
Ha haa..... We huijui ndoa....Hapo kwenye wife kuna ukakasi.
Watu Wa mkoa....daaah![]()
![]()
kama kule Rombo tu.
Anakopesha kama finca...Poa saana damchanga
Ha haaa.....
Wakongwe wanapumulia mitamb
Fresh tuu braza....Morning braza
Jana na leoTeacher on duty
PNC 1
aggyjay
mabesela
jambilo
dog 1
SONGEA one
KABUGHA
eden kimario.
youngblood
damtanzania
HULILO
EMMYGUY
@sizzy007
Nahrene
Wife cute b
ibra87
lizziebettie
Th Name
Bitoz
Jimena
Linamo
Mganga mshana jr
UncleBen
dekitambi
Thoomas
youngblood
amaizing
Good morning all......
Kapuku VIP?? Pumzi imekata???
Cc Jimena
Nakumbuka kuna mwalimu wangu alikuwa ananiita damu mbichi.Anakopesha kama finca...
Anaogopeka sana Afrika......damu changa
P the mc
Baba kodi ya meza naomba... haiwezekani uamke kuja kupitisha rokoo huko na meza ipo emptySwalama....lovie
How ar you love?
![]()
![]()
![]()
![]()
Mkuu upoAnakopesha kama finca...
Anaogopeka sana Afrika......damu changa
P the mc
Nimeshamsamehe kweli yameisha.Nimepokea kwa masikitiko makubwa uamuzi wako wa kumpiga chini brother wangu wa pekee.
Nipo aseeMkuu upo
Naona umejiunga na chama la makapukuNipo asee
Hahaha,huyu mwanaume wa hii ndoa nadhani hajaenda unyagoniBaba kodi ya meza naomba... haiwezekani uamke kuja kupitisha rokoo huko na meza ipo empty
Mimi sijui nitafanyaje, yaani yeye kaamka kwenda kuuliza marafiki zake kuhusu wake zao wameamkajeHahaha,huyu mwanaume wa hii ndoa nadhani hajaenda unyagoni![]()
![]()
![]()
Jocking.
Afadhali umemsamehe maana brother alikuwa analialia tu.Nimeshamsamehe kweli yameisha.