EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Hee... Msata tena!?Hiyo tu usivae chochote kingine kisha twende msata
Hee... Msata tena!?Hiyo tu usivae chochote kingine kisha twende msata
Terms & Condition applyAchana na yaliyopita,wewe ukimpiga chini tena nishtue najua contact zangu unazo.
Ipo sawa mkuu..Salama kabisa Mkuu. Habari ya baridi ya asubuhi!
Najua kwa baridi ya leo kuna watu watakuja na mbwembwe nyingi.Ipo sawa mkuu..
Hahahaaa... Ni hatari asee.![]()
Makapuku mziki mnene
Ngoja nicheze sebene
Wanatisha km senene
Usipowapa 5 unawapa 8
Makapuku wanashambulia km mchezaji # 8
Nasisi tunakuja kwa kapuku tubanane
................
Aje Ommy!wacha weee!
Poa poa kamanda, kazi njema.Asubuhi njema makapuku
Baadae![]()
![]()
![]()
![]()
Ukikaa cku 1 tu hapa unapandisha matrophy point km kusukuma toroliAsante sana![]()
![]()
Poa mkuu.Asante sana![]()
![]()