Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Basi sawa nitakuwa na shauku tu sasaAhaa utakua surprised more than this
Sawa mkuu asante kwa taarifaMkuu hatu-quote magazeti
Sikujua shunie ,asante kwa taarifasawa mkuu siku nyingine usiquote magazeti yote comment tu
Karibu sana pitia na historia kidogo uongeze IQSawa mkuu asante kwa taarifa
Ndo naipitia mkuuKaribu sana pitia na historia kidogo uongeze IQ
Asante mkuu kwa historiaLEO KATIKA HISTORIA:
Sina la ziada niwatakie siku njema.
Adolf Hitler alikua na machale na alijua anamaadui wengi maisha ya hofu kila wakati.1943 - Rudolf von Gersdoff anajaribu kumuua Adolf Hitler kwa bomu katika ukumbi.
Hitler anawahi kuondoka katika ukumbi huo kabla ya muda uliopangwa na hiyo inakuwa ndio pona yake.
Katika utawala Adolf Hitler amenusurika majaribio 26 ya kuuwawa.
Malaria mbaya haijaacha kutuua hadi leo tuwe na tahadhali net,hospital ,matumizi sahihi ya dawaStanley
Livingstone![]()
![]()
![]()
Sanamu na kaburi
......
Ubaguzi1960 - Sharpeville Massacre: Polisi wa kikaburu wanawaua Waafrika Kusini weusi 69 na kujeruhi wengine 180 baada ya Waafrika hao kuandamana katika mji wa Sharpeville.
Ukitengeneza maadui itakugharimu daima![]()
![]()
![]()
Bado majaribio kwa Sizonje
....
Hata mimi unanishinda2006 - Mtandao wa Kijamii wa Twitter waanzishwa rasmi huko San Fransisco, Jijini California nchini Marekani.
Ni moja kati ya mitandao yenye habari za haraka na watumiaji wengi.
Pamoja na kutimiza miaka 11 bado watu wengi wanashindwa kutumia mtandao huo.

Ubaguzi mbaya sana,mpaka leo hawa watu hawako vizuri kisaikolojia![]()
![]()
![]()
Utawala wa kipuuzi
....
Goodmorning mummy asante pole nawe,asante kwa kutujali ubarikiweGood morning fellas!!!
Poleni kwa stress za usiku na mchana!!!
Asente na aminaGoodmorning mummy asante pole nawe,asante kwa kutujali ubarikiwe
Goodmorning mummy Shunie ubarikiwe my dear uwe na siku njema asante kwa magazetimorning kwa niaba ya baby nawaletea magazeti![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
usijali liviSikujua shunie ,asante kwa taarifa
VyemaNdo naipitia mkuu
shukrani mama mchungaji ubarikiwe na ww, hope mgonjwa anaendelea vizuriGoodmorning mummy Shunie ubarikiwe my dear uwe na siku njema asante kwa magazeti