Makapuku Forum

[emoji450][emoji448][emoji449][emoji446][emoji447][emoji443][emoji445][emoji444][emoji441]

Nampenda mpenda...

Nani?

Kijana mmoja..

Nani?

Mweusi kidogo...

Nani?

Mrefu kidogo...

Nani?

Handsome saana!

Nani?

MONDRAAAAAY! [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]

[emoji441][emoji444][emoji445][emoji443][emoji447][emoji446][emoji449][emoji448][emoji450]
 
1961 - Lothar Matthaus anazaliwa.

Kiungo wa zamani wa Bayern Munich na timu ya taifa ya Ujerumani.

Alikuwa kepteni wakati Ujerumani inatwaa ubingwa wa Kombe la Dunia mwaka 1990 pale Italia kwa kuifunga Argentina ya Diego Armando Maradona.

Ndio Mjerumani pekee mpaka sasa kushinda tuzo ya Mchezaji bora wa Dunia.

Ndio mchezaji aliyecheza mechi nyingi zaidi kwenye timu ya taifa ya Nchi hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…