Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,369
- 12,469
Anzisha nyuzi acha ngonjeraaPako kimyaaaaaa kama vile mko mnasikiliza mawaidha
Anzisha nyuzi acha ngonjeraaPako kimyaaaaaa kama vile mko mnasikiliza mawaidha
Babes...Najua nitakumiss ila no way out.
Kazi kwanza, take care of yourself for me
Swadakta mkuu..Nimemkubali kaka (T) Transcend
Hahaaa hebu potezea hizo banaa

Wewe jamaa umenichekesha sana na harakati zako kama za pimbi. Vingine uwe unauliza ni vyamoto vinsunguza ohooo!!!!




hahhahahhhaa huyo bwana mambo yake makubwa hataki wanawake nimemkuta mmu huko anataka kuelekezwa njia nzr ambayo haina madhara



Ndio kuna mdogo wangu rika lako amekuwa addicted na hiyo huduma (personal love) sasa zile njia alizosema mtoa mada still haziwezi kufua dafu.Nasikia ulikua unaulizia njia salama ya kupuchuka
Thamani yake haiuzikiKapuku oyeee, kapuku juuu kama pepsi diet.
Swadakta mkuu..

Go there ! Get one..MMU ni kwa ladies sana maana kila uzi ni kidume kinataka totoz tu mpaka inafikia unajiuliza hizi takwimu za wanawake ni wengi kuliko wanaume ni fake maana wanaume ndio wanatafuta wanawake.
Wonder
Hahaha!Nashangaa kaka Transcend kushinda kule au anaogopa zile nyuzi mpya mpya maana kuna mikogo kule
I can't, soon I will getGo there ! Get one..
Hahahaaa!No lile alipewa RayvanBoy sio mm




Kitu selfie...Ndio kuna mdogo wangu rika lako amekuwa addicted na hiyo huduma (personal love) sasa zile njia alizosema mtoa mada still haziwezi kufua dafu.
I believe madhara ya punyeto ni ya kufikirika maana dogo siku akiwa na gemu huwa nampisha na hiyo shughuli yake huko ni kama Chelsea na United nabaki tu na maswali juu ya haya mambo ya ndani
Na wewe pia mkuuMlale unono wapendwa
Unakuja na kuondoka, if you don't mind let me escort youMlale unono wapendwa
Ile selfie itapelekea kukosa uhondo labda kwa nukushiKitu selfie...
Utahangaika sana mwaka huuUnakuja na kuondoka, if you don't mind let me escort you