Ndio kuna mdogo wangu rika lako amekuwa addicted na hiyo huduma (personal love) sasa zile njia alizosema mtoa mada still haziwezi kufua dafu.
I believe madhara ya punyeto ni ya kufikirika maana dogo siku akiwa na gemu huwa nampisha na hiyo shughuli yake huko ni kama Chelsea na United nabaki tu na maswali juu ya haya mambo ya ndani