sammoo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 701
- 1,604
SimbaSasa nisipomuamkia ankali ntamuamkia nani?
SimbaSasa nisipomuamkia ankali ntamuamkia nani?
Na kweli, anapoelekea sasa si ajabu akajitusi![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
bora alale
hata kama, na nyie subirieni kipigo cha haja kutoka kwa wale waarabu ndo mtaacha kuchongaManeno ya mkosaji Hayo. Toto amewanyoosha jana
Hahahaaa ndioNa kweli, anapoelekea sasa si ajabu akajitusi
duh! watu na nyota zao haoyoungblood ana 8000+
Kesho nampiga mwarabu huko huko kwaohata kama, na nyie subirieni kipigo cha haja kutoka kwa wale waarabu ndo mtaacha kuchonga
Sanaaaaaaduh! watu na nyota zao hao
nilidhani unaandika kumbe unaongeaga, haya dadaNaongea Points![]()
![]()
![]()
Lohnilidhani unaandika kumbe unaongeaga, haya dada
Angalia maneno yako braza!! Kesho usije ukakimbia humuKesho nampiga mwarabu huko huko kwao
Nina muda sijala ubweche shereheni sasa usininyime kadi siku ya harusi yenu na Nahe...Karibu mkuu.
au ungeiweka hivi, LOL teh!!!
Kesho nampiga mwarabu huko huko kwao
Siwezi kimbia sababu najua nampiga yule mwarabuAngalia maneno yako braza!! Kesho usije ukakimbia humu
usije ukakimbia kivuli chako humu baada ya kupasuliwa na Nacional Al Ahly
yanga kama ulaya yaani sio mikiaSiwezi kimbia sababu najua nampiga yule mwarabu
mkuu mpira huwa unadunda, ila hawa Yanga kila wanapokutana na Waarabu unaweza fikira uwanja umejaa maji! mana hamna kitu wanafanyagaAngalia maneno yako braza!! Kesho usije ukakimbia humu
Labda Akilimali Akae kwenye benchi la ufundi badala ya yule kikongweSiwezi kimbia sababu najua nampiga yule mwarabu