Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Usiku mwema mkuuNawatakia makapuku wote usiku mwema wenye kheri na baraka kibao.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Usiku mwema mkuuNawatakia makapuku wote usiku mwema wenye kheri na baraka kibao.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
That's my braza. Usiku mwemaMoyo wangu ni mweupe kama saruji.
Sawa mama.Lala
Nawe pia Jimena Mungu akulinde.Usiku mwema mkuu
Sio kwa ukimya huuWazima. Laleni salama. Nimepata tu kuwapa hi. Kesho panapo majaliwa

Tumuulize saruji ya aina gan, twiga au ipi?sio saruji bhana![]()
![]()
![]()
![]()
itakua ni simba cementTumuulize saruji ya aina gan, twiga au ipi?
Ni theluji bhanaMoyo wangu ni mweupe kama saruji.
Bado unaendelea eehTumuulize saruji ya aina gan, twiga au ipi?
Nilifiwa na ndugu na rafiki yangu kipenzi sana. Bado tupo msibani.Sio kwa ukimya huu![]()
![]()
duhWakuu nimeanza kurembua.
Pole mkuu.Nilifiwa na ndugu na rafiki yangu kipenzi sana. Bado tupo msibani.
Bora alale![]()
![]()
![]()
alafu kweli
Usingizi![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
pole sana nduguNilifiwa na ndugu na rafiki yangu kipenzi sana. Bado tupo msibani.
Pole sana mkuu... Mungu ni mwemaNilifiwa na ndugu na rafiki yangu kipenzi sana. Bado tupo msibani.
Au Nyati