Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Kesho ushindi tu.yanga kama ulaya yaani sio mikia
Braza usiku mwema
Kesho ushindi tu.yanga kama ulaya yaani sio mikia
mpira unadunda kwa asiye jua chief,,,,anaejua anaudundisha yeyemkuu mpira huwa unadunda, ila hawa Yanga kila wanapokutana na Waarabu unaweza fikira uwanja umejaa maji! mana hamna kitu wanafanyaga
Pamoja sana. Usiku mwemaLabda Akilimali Akae kwenye benchi la ufundi badala ya yule kikongwe
yashafika 4![]()
![]()
Jogoo la kweli
Spurs
...........
wanagawana tu majamaa![]()
Hii sasa sifa
...............
powa powa .. tuombe uzimaPamoja sana. Usiku mwema
Na kwako piaUsiku mwema wote
Same to you kapukuView attachment 340329goodnight makapuku
Mpira hauwez dunda kwa hawa yeboyebo, watapigwa tumkuu mpira huwa unadunda, ila hawa Yanga kila wanapokutana na Waarabu unaweza fikira uwanja umejaa maji! mana hamna kitu wanafanyaga
Na kwako pia![]()
Full time
Ucku mwema Kapukuz
..............
nawe pia mkuu, tuombe uzima..Nawatakia usiku mwema nyote mtakaoendelea kuwepo
cc MANDELAA KIWELU
powa powa arifuPamoja sana. Usiku mwema
View attachment 340329goodnight makapuku
nawe pia ufurahie usiku wako ..Usiku mwema wote
Usijali jirani.Nina muda sijala ubweche shereheni sasa usininyime kadi siku ya harusi yenu na Nahe...