lizziebettie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 2,873
- 11,966
Ananichekesha jamanBado unaendelea eeh
Ananichekesha jamanBado unaendelea eeh
Pole sana rafikiNilifiwa na ndugu na rafiki yangu kipenzi sana. Bado tupo msibani.
Asante mkuuPole mkuu.
Pole sana dear, rafiki apumzike kwa amaniNilifiwa na ndugu na rafiki yangu kipenzi sana. Bado tupo msibani.
Mwenyezi Mungu awape faraja katika kipindi hiki kigumu!Nilifiwa na ndugu na rafiki yangu kipenzi sana. Bado tupo msibani.
Tatizo usingiziAnanichekesha jaman
Amina asantePole sana mkuu... Mungu ni mwema
Niacheni nilale,mtanifanya nizidi kuchapia.Bado unaendelea eeh
kabla ya uzi huu nilikuwa active ktk uzi wa kiba, baadaye mods wakaleta figisu basi nikawa msomaji tuHongera yake
Sioni 7bu ya kwenda thread zingine kwenye magumashi
..................
Usingizi hauna baunsa.Tatizo usingizi
Sasa nisipomuamkia ankali ntamuamkia nani?ohoo anko shikamoo za nini jamaniii![]()
![]()
Lala sasaNiacheni nilale,mtanifanya nizidi kuchapia.
Alale tuTatizo usingizi
Leo youngblood analo... Sio kwa hii minyooshoNi theluji bhana
ni kweli mnatisha kwa kufeli michuano ya kimataifa!Young Africans tunatisha mbaya.
Hizo picha nyingine![]()
![]()
![]()
![]()
Na kweliAlale tu
Lala tuNiacheni nilale,mtanifanya nizidi kuchapia.
Maneno ya mkosaji Hayo. Toto amewanyoosha janani kweli mnatisha kwa kufeli michuano ya kimataifa!