Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,045
Nawatakia makapuku wote usiku mwema wenye kheri na baraka kibao.



Iam here uncle.... Shikamooam looking for jimena, where is jimena, jimeeee jimena![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Nasinzia buawana,usinicheke.
Utani wa ngumi huu![]()
![]()
![]()
![]()
sasa nayy alitumia lugha tata. Angesema anasinziaUsiku mwema brazaNawatakia makapuku wote usiku mwema wenye kheri na baraka kibao.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sikutegemea kabisa.Utani wa ngumi huu![]()
![]()
![]()
![]()
youngblood ana 8000+kapuku anayeongoza kwa likes nafikiri ni Th Name, 7000+ kijana upo vizuri
Poa nawe pia ndugu.Usiku mwema braza
Forgive her my braza. Just jokesSikutegemea kabisa.
LalaNasinzia buawana,usinicheke.
Moyo wangu ni mweupe kama theluji.Forgive her my braza. Just jokes