Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Sawa, baadae basinimepoa dada angu ya kawaida tu
Sawa, baadae basinimepoa dada angu ya kawaida tu
poa loveSawa, baadae basi
Basi sawa, mie naenda tembea.
Waage wengine
KwemaaaNiaje makapuku.
Sawa sawa mangeKama kawa wakuu nadhan mko poa. Soon je wajua inakuja kwa udhamini wa mtu mzito lee mutuz AKA lee mawivu AKA Lee Empire
Hajanipa jibu hataLissu kashinde
Ongera ray vany boy kumpata clkey
BashishiteSawa sawa mange
Take care lovely!Sawa, baadae basi
Sio wote mkuu nipo neutralBinamu?
Nyinyi ni mnapiga sound yeyote tuu..
What!?Utani mwingine bhan?
Yaani una double-name! Uwe mke wewe! Uwe wifi wewe
Waooow, hizi pigo zako ni balaa unapochanganya na lugha ya kwenye jahaziIt is an absolute human certainty that no one can know his own beauty or perceive a sense of his own worth until it has been reflected back to him in the mirror of another loving, caring human being....
I believe in love at first sight!
Don't take this Crazy..
Huku ni kama EUFANimeshakaribia nimerudi toka chimbo nakutana na vijana mnaumiza sana kapukuni
aiseeJE WAJUA??
Kutokana na uhaba wa wanaume Nchini Iceland, serikali huwalipa Dollar 5000 kwa mwezi wageni ambao watao nchini hapo
Bonjour Papaa.....Bonjour baba ya kongo mutu mukubwa
pole lulu kwa kuachana na bae wako kama kweli ulimroga kama wanavyosema au watu tu waliamua kuwaachanisha Mungu ndio anaejua ukweli
mlivyokua mnapendana aisee pole sana upo kwenye kipindi kigumu sana mpk umpate mwingine umzoee si leo

Baba mchungaji n binamu sasa hivi

Karibumukongo na ww ni mchungaji una kanisa teh tualike na sisi tuje kusali