Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Shem ka ni wewe umempa stress, sijui nikuambiaje!!! Una taarifa nimefanana na babangu lakiniMmmmmh
Shem ka ni wewe umempa stress, sijui nikuambiaje!!! Una taarifa nimefanana na babangu lakiniMmmmmh
Sijaona mwaya, Ila nimemwish Daby asubuhi kabla hata ya mkewehahahah najua umeona wishes ya husna kwa Daby leo birthday yake nimecheka
Niombee tuu,nakusubili kwa hamu sna yaan
Kwa nini wanitesa lakiniDada usijal kawaida tu nitakua sawa
Waaaachaaa weweMungu mnene bei ya soda Iko pale pale
ulimuwish pm au aliandika thread mm ndio nimeingia ata sielewi nimekutana na ya husna chit chatSijaona mwaya, Ila nimemwish Daby asubuhi kabla hata ya mkewe
Hata mie simuelewi kabisaahahahh unajua sijamuona babu siku mbili hizi sijui tunapishana
Mm nikiendaa kwa obe hautonisubir kwa hamu??nakusubili kwa hamu sna yaan
ww hamu yako haiwezi lingana na yeyoteMm nikiendaa kwa obe hautonisubir kwa hamu??
Hilo lijibu umelidowload wapiiww hamu yako haiwezi lingana na yeyote
Na nilivomkorofiii nakuja na dompoww hamu yako haiwezi lingana na yeyote
Awe mtata tuu! Mimi mwenyewe mtataIla sakayo ana babu yake n mtata acha
Nilimwish kwenye uzi tumekutana tuu asubuhi na mapemaulimuwish pm au aliandika thread mm ndio nimeingia ata sielewi nimekutana na ya husna chit chat
Ooh! Naona !Transcend akiona hii sijui
Hivi unajua nina wivuww hamu yako haiwezi lingana na yeyote
hahahhh kwa sbbu mm kiazi auHilo lijibu umelidowload wapii
binamu nakuona
utanitoa roho babaNa nilivomkorofiii nakuja na dompo