Makapuku Forum

Ha hahhahhahah, hili tu halina shaka, aunt hata kabla hajauliza namwambia kabisa tena namuonyesha na barua ya kukuomba unisindikize, halafu kila mtu anaendelea kujikongoroa anavyoweza.
BTW, aunt kapendeza na kaphotoshop kapya Shunie
Binamu nakuamini sana halaf naona kama sikuelewi mana kila siku naagwa na lee anakuja kwako

santee kwa kunisifia
 
Ilaaaa sasa bhinamu usiwe mpenda kuongea ukweli make akikurushia ya vodka unaniangamiza

Kapendeza ila na uzuri unachangia plus gharama
baby hamna leo kutoka na was was na hzi safari zako kweli tena
 
Reactions: Lee
pole lulu kwa kuachana na bae wako kama kweli ulimroga kama wanavyosema au watu tu waliamua kuwaachanisha Mungu ndio anaejua ukweli

mlivyokua mnapendana aisee pole sana upo kwenye kipindi kigumu sana mpk umpate mwingine umzoee si leo
Nilijuaaaa utamteteaa


Naomba uku uingie badaee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…