Golda = gold
Jina lake tu ni dhahabu...tuwape watoto majina yenye maana samtaimu yanaleta ngekewa sio mwanao unamwita Bashite au Pombe ataleta kasheshe ukubwani
......
Hakuna watu wabaya kwenye kulipa kisasi kama Israel. Huwa wanadili kuanzia yule aliyepanga tukio mpaka alitekeleza. Haachwi mtu. Rejea sakata la kikundi cha Balck September dhidi ya mauaji ya wanamichezo wa Israel katika michezo ya olimpiki ya mwaka 1974 pale jijini Munich nchini Ujerumani.