Makapuku Forum

Makapuku Forum

Tena ww shunie tumetoka mbali sana usianiache,toka kwa monica,mke wa rais,vipepeo,peniela,baradhuli yaani nyingi kwa kweli mpaka sasa,una moyo sana wa kusoma riwaya mbalimbali halafu naona tunaendana ulipo ww nami nipo😀
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom