usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,978
- 14,097
Dhaaa!!! Aiaeee dan pablo hiliUkiruhusu ueleweke utavamiwa kama Don Pablo Escobar
Movie co la mchezo mchezo kabsaaa
Dhaaa!!! Aiaeee dan pablo hiliUkiruhusu ueleweke utavamiwa kama Don Pablo Escobar
Mwambie asisahau tikit majiKaenda sokoni
unaoga aibu kumbe hata ww!
Uwa taarifu na wadhamin mkuuTunashukuru mkuu
Mkuu karibu sanaMwambie asisahau tikit maji
Kuna mgen anataka
Nakumbuka ukiwa na sh. 50 shuleni unavyotesa watu...Hayo makreti kitambo sana enzi ya primary
kumbe bdo tu hajaachiliwaMondray yuko pouwa eeh?
Ndo wenyeweDhuuuu hawa nnao waona co nyoka
Mkuu
Unakulaga hiyo kitu?mdudu
Me au ke? Siti ziko tofauti tofautiAhsante sana mkuuu cjui ntakaa wap
Bdo hujanionesha sit
Hiyo kitu ukute mahali inarostiwa sasa...![]()
![]()
![]()
Ni dili sana huyu mdudu


Pamoja mkuuShukrani dikteta kwa historia murua
Inatakiwa siti yenye kitumbua mkuuMe au ke? Siti ziko tofauti tofauti
naona aibu kama hivyo nikiwa na babyunaoga aibu kumbe hata ww!
Aah! Wewe ni me eeh?Inatakiwa siti yenye kitumbua mkuu
Bla kusahau chura
Hapo nimekupata mujarabuWakuu,
kwa leo sina la ziada katika je wajua.
niwatakie siku njema woteeeeeeeeeeeeeeee.
wale man untd tukutane OT kwa ajili ya pre-match talk then stadium baadaye saa 5 usiku.
sio mpnz wa hiyo kitu sema nikiwa na watu wanaokula nitadokoa tu moja mojaUnakulaga hiyo kitu?