Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Duhleo katika je wajua; on behalf of Ray van Boy ;
Je wajua kuwa mwezi february mwaka 1865 ndio pekee ambao hakuwa na mwezi mzima (full moon)
Duhleo katika je wajua; on behalf of Ray van Boy ;
Je wajua kuwa mwezi february mwaka 1865 ndio pekee ambao hakuwa na mwezi mzima (full moon)
Tunashukuru mkuuNaomba niwasalimie leo
Kule wapo Dubu pekee au?Je wajua?
Je wajua bara la Antarctica ndio bara pekee lisilokuwa na nyoka wala reptilian.
hii inasababishwa na hali ya hewa iliyoko katika bara hilo.
baby achana na mukongoPreshaa tupuu
we mtu unaweza kuua watuHahaaaa ! Umerudi shem...
Karibu tena..
Hahahaaaaaaa!we mtu unaweza kuua watu
Mondray yuko pouwa eeh?Mgonjwa yuko vizuri sana
mduduJe wajua?
Je wajua kwamba ni vigumu kwa nguruwe kutazama juu angani kutokana na umbile lake.
hahhahahHahahaaaaaaa!
Karibu tena mkuu! Naona mlikimbia wote na lee...
Ahsante sana mkuuu cjui ntakaa wapOooooooh karibuuu sana mkuu
Sinaga utani mkuu! Tatizo time!Leoo unapiga 2 in 1
Asanteeee
Je wajua?
Je wajua kwamba ni vigumu kwa nguruwe kutazama juu angani kutokana na umbile lake.
Dhuuuu hawa nnao waona co nyokaJe wajua?
Je wajua bara la Antarctica ndio bara pekee lisilokuwa na nyoka wala reptilian.
hii inasababishwa na hali ya hewa iliyoko katika bara hilo.
Ndiye mbabe wa bahariniJe wajua?
Je wajua kwamba papa ndio samaki pekee anayeweza kupepesa macho yote.
Hayo makreti kitambo sana enzi ya primaryje wajua?
je wajua kuwa cocacola mwanzoni ilikuwa ya kijani
Asante sana mkuu mnigawie na mnKaribu mkuu