Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,224
- 39,937
SAMAHANI nisaidie maana ya KUNENG'ENEKAWalaaa mmi namchora anavonengenekwaa
SAMAHANI nisaidie maana ya KUNENG'ENEKAWalaaa mmi namchora anavonengenekwaa
Usichekeeeehahahahh pm haziji sasa hivi bada ya kufunga et yanakutaka mubashara
Hapana sipo hukoNyoteee nuksiii
Aiseee nimejizuia karibia miezi miwili nimekuta nimeshindwa...Nahisi anataka kumpiku mzee wa Kolomije
Khaaaa toa avatar yanguAshindwe leee! Leee ana demu mwingine anaitwa annie kule jukwaa la mahusiano....
Sijamgeuka!!! Nilikuwa naliweka pendo lenu kwenye MZANImukongo ww sio wa kumgeuka lee

Mkuuu unanitakiaaa kesi lakiniiii...I 've fall in love with you ooh
I 've made up ma mind for you ooh
No matter de weather i dey with you oohh
aah eeeeh eyeh eyeeeh × 2
Alimuhonga aliye juu ili aufanye moyo wako umdondokee Leehalaf ujue pesa sio big deal sana kwenye mapenzi watu hamjuagi tu
I love you shunieeeeee!Khaaaa toa avatar yangu
ana demu anaitwa annie mbona mahusiano mm nipo sana sijawahi kuona hayo mahusiano ya lee na huyo annie
Nimewafuata wapi?Kweli baby manake kina nyagei hawaachi kutufuata fuata
Lee you are totally banned!![]()
.....kina menoKikulachooo

Mtu gani hakupendi huyo unamganda?Khaaaa toa avatar yangu
ana demu anaitwa annie mbona mahusiano mm nipo sana sijawahi kuona hayo mahusiano ya lee na huyo annie
Hiviii simu yangu imeharibikaaa AuAshindwe leee! Leee ana demu mwingine anaitwa annie kule jukwaa la mahusiano....
Tuko njemaaaa mkuuu
Ila unachotaka kunifanyia sio
Lilax-RelaxMbona haufi mkuu ili Lee apate ahueniAiseee nimejizuia karibia miezi miwili nimekuta nimeshindwa...
Huyu binti nampenda kufaaaa
Broo nishakupindua mimi !Hiviii simu yangu imeharibikaaa Au
Mkuu avatar hiyo nani kakuruhusuu
Tuheshimianeee
My God ashakuwaaa baby mara hiikikulacho sasa hiv tunatakiwa tuwe imara na baby aisee
Sifi mkuu!Mbona haufi mkuu ili Lee apate ahueni