baby kikao cha nn
Man city tulikupenda ila uwanja wako ulikupenda zaidi , sheria ni nzuri kwa upande mmoja ila mbaya kwa upande mwingine...hii ya kutoruhusu mabao mengi inawaponza wengi ila sio mbaya kwa malkia kumebaki wazee wa historia 'fox'
Tukutane kesho mchana kujua Fox kama anapewa vibibi vile au mmoja wa kutoka kule kuliko na ubishi wa ligi bora duniani ni wapi ....
Ila nina imani makapuku wenzangu wanaoipenda hii time ya Pep ni wachache au hawapo ....Ila wazo la kikao cha transcend liko palepale....
santee baby kwa magazetiKwa hisani ya shunie tukayapitie udaku kwa umakini
eb niache na baby wangu msukumaKuna ban ya kutongoza "mke" wa mtu mkuu? Ni Invincible au mod gani ambaye huwa anaitoa? Usinichongee mkuu. Japo siyo dili sana lakini sipendi ban aisee. Nikikata wiki bila kumchokoza chokoza Shunie ili kupima upepo roho huwa inauma balaa. Tuvumiliane mkuu na kama Shunie ataridhia basi itabidi tufanye POLYANDRY kwa sababu hakuna namna. Unasemaje?
hahahhh ya vipapaiNaionaaa ban kabisa inakujiaa...tena ikiwezekana ile ya vipapaii ....cheza na vyote ila sio shuniee
baby relax wala asikutisheDaaaaaaaaah Leo umeniamuliaa mkuu ila mbona walio single wapo wengi mkuu ....wengine wameachikaa
Naomba bhasi niachie ka shunie kangu unanitafuta maneno asubh hii kweli ....
Ngoja aamke aone maajabu ya kapuku
hahahhhAhaaaaaaaaaaah umeamuaa
Ache kuquote magazeti
hivi nikiachwa utafurahi eenh, mm sitakiUtashangaa akiamka na kuunga mkono wazo langu la POLYANDRY . Jiandae kisaikolojia mkuu.
Shunieukiamka usiniangushe. Nitakuwa angani kwa masaa sita na nusu na nikitua tu kitu cha kwanza ni mbio hapa kuja kuona kauli yako. Usije ukanihuzunisha miye kijana kutoka Koromije....
baby me nakupenda ww tu anakutisha tuKila kitu namwachiaa shunie hii vita ya shimba
hahahhh uende salama tu unamkosesha amani baby wanguUmesarenda? Kirahisi hivyo? Ni kweli unampenda Shunie wewe au gheresha tu? Ungekuwa unampenda kikweli ungempigania mpaka tone la mwisho. Aisee...
Tuonane tena baada ya masaa manane hivi inshallah. Na haya mausafiri yao ya kutetemeka mawinguni haya mi siyapendagi ila basi tu. Mi nimezoea punda kule kwetu Koromije. Msalimie Shunie...and I am logging off !
shukrani Mussolin kwa historiaLeo katika historia:
Niwatakie siku njema.
Pamoja mkuushukrani Mussolin kwa historia
Bango limejieleza lenyeweJamani ni sawa kushikishana mabango namna hii hata kama ni mtuhumiwa wa uhalifu? Nasema kuwa ni mtuhumiwa kwa sababu bado kosa lake halijathibitishwa mahakamani. Na ni makosa gani ukiyatenda ndo unashikishwa bango namna hii?Bongo vituko haviishi haki ya nani!
Usifikiri kasarenda kiboya hivyo, tegemea ambushi matata.Umesarenda? Kirahisi hivyo? Ni kweli unampenda Shunie wewe au gheresha tu? Ungekuwa unampenda kikweli ungempigania mpaka tone la mwisho. Aisee...
Tuonane tena baada ya masaa manane hivi inshallah. Na haya mausafiri yao ya kutetemeka mawinguni haya mi siyapendagi ila basi tu. Mi nimezoea punda kule kwetu Koromije. Msalimie Shunie...and I am logging off !
Marekani toka kitambo ana maadui1984 - Ofisa wa CIA nchini Lebanon, William Buckley anakamatwa na kuuwawa wapiganaji wa kiislam wenye msimamo mkali nchini humo.
Shukrani dikteta kwa historia muruaLeo katika historia:
Niwatakie siku njema.