Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,406
Wazo la POLYANDRY umelionaje mkuu? Mimi niko tayari kabisaNaionaaa ban kabisa inakujiaa...tena ikiwezekana ile ya vipapaii ....cheza na vyote ila sio shuniee
Asante mume-mwenza kwa magazeti ya leo. Naona ishu ya Bashite bado imeshika kasi. Inavyoonekana dogo atasavaivu hii kasheshe japo Mange binti Kimambi bado kamkalia kooni sawasawa. Nawapa pole wote waliofukuzwa kazi kwa sababu ya vyeti feki. Hakuna usawa hapa duniani aisee....Kumekucha salama ....
Daaaaaaaaah Leo umeniamuliaa mkuu ila mbona walio single wapo wengi mkuu ....wengine wameachikaaWazo la POLYANDRY umelionaje mkuu? Mimi niko tayari kabisa
Ahaaaaaaaaaaah umeamuaaAsante mume-mwenza kwa magazeti ya leo. Naona ishu ya Bashite bado imeshika kasi. Inavyoonekana dogo atasavaivu hii kasheshe japo Mange binti Kimambi bado kamkalia kooni sawasawa. Nawapa pole wote waliofukuzwa kazi kwa sababu ya vyeti feki. Hakuna usawa hapa duniani aisee....
Utashangaa akiamka na kuunga mkono wazo langu la POLYANDRY . Jiandae kisaikolojia mkuu.Daaaaaaaaah Leo umeniamuliaa mkuu ila mbona walio single wapo wengi mkuu ....wengine wameachikaa
Naomba bhasi niachie ka shunie kangu unanitafuta maneno asubh hii kweli ....
Ngoja aamke aone maajabu ya kapuku
Inatakaaa moyoUtashangaa akiamka na kuunga mkono wazo langu la POLYANDRY . Jiandae kisaikolojia mkuu.
Shunieukiamka usiniangushe. Nitakuwa angani kwa masaa sita na nusu na nikitua tu kitu cha kwanza ni mbio hapa kuja kuona kauli yako. Usije ukanihuzunisha miye kijana kutoka Koromije....
Umesarenda? Kirahisi hivyo? Ni kweli unampenda Shunie wewe au gheresha tu? Ungekuwa unampenda kikweli ungempigania mpaka tone la mwisho. Aisee...Kila kitu namwachiaa shunie hii vita ya shimba
ukufwe tu hakuna namna msukumaSijui kwa nini ukitaja hili jina mi hasira kibao mpaka nabamiza kuta hapa bila sababu. Please utakuja kuniuwa ujue. By the way yuko wapi? Hajambo?
kama una zawadi yangu onana na lee atanileteaUmejuaje kuwa mambo yangu ni ya mpito? Na ni nani aliyekwambia umuache mume? We ngoja tu. Hapa penyewe nina zawadi yako ambayo sijawahi kuiona Bongo. Au hata kupokea zawadi huruhusiwi? Huo utakuwa utumwa sasa!
ata ww lee umemuona mukongoMteme
Mmh binamu lee ukuje hapa ulienda wapiLo! Mjomba lee empire sijamuona wiki sasa, inabidi aseme alienda wapi maana mimi nimeitwa kikao cha dharula huku Ngende
Mkuu unataka ban nyingine....???
mushenga wakoNa wewe
eb niambie ukweli ulikua wapisi nina copy ya key