Makapuku Forum

Trump anawakosesha usingizi
 
Tizi unatakiwa uanze nalo mdogo mdogo na ukitaka kuacha uache hivyohivyo mdogo mdogo
 


Man city tulikupenda ila uwanja wako ulikupenda zaidi , sheria ni nzuri kwa upande mmoja ila mbaya kwa upande mwingine...hii ya kutoruhusu mabao mengi inawaponza wengi ila sio mbaya kwa malkia kumebaki wazee wa historia 'fox'

Tukutane kesho mchana kujua Fox kama anapewa vibibi vile au mmoja wa kutoka kule kuliko na ubishi wa ligi bora duniani ni wapi ....


Ila nina imani makapuku wenzangu wanaoipenda hii time ya Pep ni wachache au hawapo ....Ila wazo la kikao cha transcend liko palepale....
 
Mkuu unataka ban nyingine....???
Kuna ban ya kutongoza "mke" wa mtu mkuu? Ni Invincible au mod gani ambaye huwa anaitoa? Usinichongee mkuu. Japo siyo dili sana lakini sipendi ban aisee. Nikikata wiki bila kumchokoza chokoza Shunie ili kupima upepo roho huwa inauma balaa. Tuvumiliane mkuu na kama Shunie ataridhia basi itabidi tufanye POLYANDRY kwa sababu hakuna namna. Unasemaje?
 
Naionaaa ban kabisa inakujiaa...tena ikiwezekana ile ya vipapaii ....cheza na vyote ila sio shuniee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…