Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,406
Halafu zenyewe zinatukana tu we ukijaribu unakula ban. Utaziacha Lizabon na Wakudadavua zipo tu zinaendelea wakati we unachezea ban.Sifunguagi tena hizo sredi maana nahisi kutukana mtu kwa hasira!!!
Pole sana mkuu....Nipo vzr kwa kiasi tatizo ni mazoezi tu kidogo yanitoe roho
I'd nyingine hainogi. Inabidi tena u-establish personality nyingine na uanze kuzoea watu upya. Nilijaribu ku-register nyingine nikaishia njiani...Wewe mvumilivu...! Ray Van boy alikula Bann akaja na id ingine mchana huo huo...
Wewe sio kibaka mzoefu ulifos fani.I'd nyingine hainogi. Inabidi tena u-establish personality nyingine na uanze kuzoea watu upya. Nilijaribu ku-register nyingine nikaishia njiani...
Asante the big brotherPole sana mkuu....
Madenge acha ushabiki uliopitiliza kimo. Hata hao vijana wa kibandani Ufipa nao ni vile vile. Kwa hili hakuna wa kumlaumu.Noma aisee
Kibaya zaidi hao buku 7 wanavamia mada ili kuibadilisha mwelekeo yaani nahisi hadi chupi wanazovaa wanapewa na makao makuu pale Lumumba na zina rangi za kijani na logo ya jembe na nyundo
.....
Sijui kwa nini ukitaja hili jina mi hasira kibao mpaka nabamiza kuta hapa bila sababu. Please utakuja kuniuwa ujue. By the way yuko wapi? Hajambo?bas lee kanidanganya
Umejuaje kuwa mambo yangu ni ya mpito? Na ni nani aliyekwambia umuache mume? We ngoja tu. Hapa penyewe nina zawadi yako ambayo sijawahi kuiona Bongo. Au hata kupokea zawadi huruhusiwi? Huo utakuwa utumwa sasa!kaenda kumsalimia binamu yake obe nahisi simu imeisha chaji na kwa binamu umeme hamna
hapana mm siwezi kumuacha mume sbbu ya mambo ya mpito kama yako msukuma
Mbape kafanya yakeNaona City anafanya ujinga
.....
Kila shetani na mbuyu wakeHalafu zenyewe zinatukana tu we ukijaribu unakula ban. Utaziacha Lizabon na Wakudadavua zipo tu zinaendelea wakati we unachezea ban.
Ulifanya mazoezi gani mpaka ukawa hoi? Isije ikawa umekutana na jimama limekupelekesha usiku kucha na sasa unasingizia gym!Nawacheki tu na story zenu za kula madini ya uvinza
Nilikua sijawahi kufanya zoezi la hivi.Ulifanya mazoezi gani mpaka ukawa hoi? Isije ikawa umekutana na jimama limekupelekesha usiku kucha na sasa unasingizia gym!
Mazoezi inabidi kwenda nayo pole pole huku ukiuangalia mwili unavyo-respond. Watu wengi hupata vilema vya maisha na hata kupoteza maisha kabisa kwa kujifanya macho men kwenye gym. Tena inashauriwa sana kufanya comprehensive physical exam kabla ya kuparamia gym.Nilikua sijawahi kufanya zoezi la hivi.
Nimefanya lile zoezi la kusukuma taili nikapiga na chuma za kutosha. Sasa tumbo na kiuno leo vimekosa ushirikiano. Nimeshindwa hata kucheka mikono hoi yaani siku imeisha nipo kitandani
Nilifuatilia uzi fulani wa jamaa Castr ndio namm nikaanza. Weee imebidi nimfuate pm nimueleze akanishauri leo nipige kidogo. Sasa nikajiuliza kama kumpiga mbu, kucheka, hata kusex pia suwez kwa jinsi nilivyo si ndio nitakufa kabisa ikabidi nipotezee. Niliiogopa nilidhan nimekata utumboMazoezi inabidi kwenda nayo pole pole huku ukiuangalia mwili unavyo-respond. Watu wengi hupata vilema vya maisha na hata kupoteza maisha kabisa kwa kujifanya macho men kwenye gym. Tena inashauriwa sana kufanya comprehensive physical exam kabla ya kuparamia gym.
Pole sana na bila shaka ushajifunza kitu na mara nyingine utakuwa mwangalifu.
Wananichafuaga sana mpaka najiuliza wanawaza kwa kutumia nini!!!!....Noma aisee
Kibaya zaidi hao buku 7 wanavamia mada ili kuibadilisha mwelekeo yaani nahisi hadi chupi wanazovaa wanapewa na makao makuu pale Lumumba na zina rangi za kijani na logo ya jembe na nyundo
.....
Karibu jimNipo vzr kwa kiasi tatizo ni mazoezi tu kidogo yanitoe roho
Ahsante limejua kunitoa jasho kweliKaribu jim
Ndo niini!!!(in joti's voice)Wewe mzee wa hizi hapa
Stress za kujitakia sio ishu!!!hahahah sijawahi kukuta kwenye 18 za hivyo nitacheka