Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,419
Wee Shunie wee. Bawasiri tena. Ilikuwa ni terminal stage ya Oral Cancer. Kinywa chote kimechakaa kabisa kabisa. Madaktari huko walikuwa wanaelimisha kuwa kisababishi kikubwa cha oral cancer kwa sasa ni tabia ya watu kuzama chumvini hovyo hovyo na haya ni matokeo ya utafiti wa kisayansi kabisa. Basi nikalimwa ban na thread ikafutwa....itakua ugonjwa wa bawasiri huo
bas lee kanidanganyaMwongo me nashabikia nyu kaso!!!
Amen mukongoTRUE TRUE TRUE ubarikiwe na kizazi chako
hahahah sijawahi kukuta kwenye 18 za hivyo nitachekaSifunguagi tena hizo sredi maana nahisi kutukana mtu kwa hasira!!!
Zaidi ya sanaHii nchi kuna mengi ni kero sana
kwan mm nilikua nae wapi mpk awe hivyo shemelaMkuu shunie ndo kakufanya uugue hivyo au uko serious?
Jana ulimfanya nini dogo langu?
hahahaahh Bitoz wwNoma aisee
Kibaya zaidi hao buku 7 wanavamia mada ili kuibadilisha mwelekeo yaani nahisi hadi chupi wanazovaa wanapewa na makao makuu pale Lumumba na zina rangi za kijani na logo ya jembe na nyundo
.....
Khaaaa mbona watu wataugua wengiWee Shunie wee. Bawasiri tena. Ilikuwa ni terminal stage ya Oral Cancer. Kinywa chote kimechakaa kabisa kabisa. Madaktari huko walikuwa wanaelimisha kuwa kisababishi kikubwa cha oral cancer kwa sasa ni tabia ya watu kuzama chumvini hovyo hovyo na haya ni matokeo ya utafiti wa kisayansi kabisa. Basi nikalimwa ban na thread ikafutwa....
Kuolewa ndiyo nini Mukongoman? Mume mwenyewe wala sijamuona hapa tangu nirudi. Si ajabu kasafiri au anaumwa. Akirudi atakuta mtoto si wake. Hapa nipo namwimbisha Shunie wikiendi ijayo twende visiwani hukooo "tukatambulishane". Ni mambo ya Kikoromoje Koromije tu....
kaenda kumsalimia binamu yake obe nahisi simu imeisha chaji na kwa binamu umeme hamnaKuolewa ndiyo nini Mukongoman? Mume mwenyewe wala sijamuona hapa tangu nirudi. Si ajabu kasafiri au anaumwa. Akirudi atakuta mtoto si wake. Hapa nipo namwimbisha Shunie wikiendi ijayo twende visiwani hukooo "tukatambulishane". Ni mambo ya Kikoromoje Koromije tu....
Duh!Wee Shunie wee. Bawasiri tena. Ilikuwa ni terminal stage ya Oral Cancer. Kinywa chote kimechakaa kabisa kabisa. Madaktari huko walikuwa wanaelimisha kuwa kisababishi kikubwa cha oral cancer kwa sasa ni tabia ya watu kuzama chumvini hovyo hovyo na haya ni matokeo ya utafiti wa kisayansi kabisa. Basi nikalimwa ban na thread ikafutwa....
Kila nchi ina mambo yake yanayoboa. Nimerudi kutoka katika mizungiko iliyonifikisha katika nchi 6 katika mabara matatu tofauti na kote huko kero kibao. Wamarekani wenyewe wako hoi naTrump wao. Sema tu sisi binadamu huwa tunaona kuwa matatizo tuliyonayo ndo funga kazi kumbe tungeangaza kwingineko pengine tusingekata tamaa kivile...Samtaimu kuna mambo yanaboa sana nchi hii
....
Wewe mvumilivu...! Ray Van boy alikula Bann akaja na id ingine mchana huo huo...
Ulimmiss mpaka unaumwa? Mimi nimekula ban hapa ya siku 10 hata kuniulizia hakuna. Huyo Mukongoman anakuletea ma-platinum, ma-cobalt na ma-karats ya dhahabu na mialmasi? Roho yaniumaaa! Haya nami nimekuletea michembe kutoka Koromije...Kha!!!sawa mukongo nilikumiss mpk naumwa
Kila nchi ina mambo yake yanayoboa. Nimerudi kutoka katika mizungiko iliyonifikisha katika nchi 6 katika mabara matatu tofauti na kote huko kero kibao. Wamarekani wenyewe wako hoi naTrump wao. Sema tu sisi binadamu huwa tunaona kuwa matatizo tuliyonayo ndo funga kazi kumbe tungeangaza kwingineko pengine tusingekata tamaa kivile...
Hata pipo za Ufipa ni hivyo hivyo. Nazo zinaudhi utafikiri zote zinatoka ukoo wa akina Aikaeli. Mawazo na hoja utazipata kwa watu ambao tuko objective na hatuegemei katika ushabiki wa kisiasa.Mfano ni Jukwaa la Polifix
Kuna pipo zinaitwa Lumumba buku 7 zinaudhi hadi unajiuliza hivi hawa wanaishi Masaki? Ni watoto Wa vigogo? Maana wanapost upumbavu tu kila kitu ki nachohusu nchi/serikali/Ccm kwao ni OK tu
......
hahahh msukuma acha wivu tatizo lako ww huku siku hizi haupatikan ww nakukuta siasani kwahyo ukipotea najua upo kwenye siasa lkn nilikupa pole mwanzoUlimmiss mpaka unaumwa? Mimi nimekula ban hapa ya siku 10 hata kuniulizia hakuna. Huyo Mukongoman anakuletea ma-platinum, ma-cobalt na ma-karats ya dhahabu na miakmasi? Roho yaniumaaa! Haya nami nimekuletea michembe kutoka Koromije...Kha!!!