Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Milelee aminaaaaaaaaa! Barikiwa mkuu
JE WAJUA??
kanisa katoriki limeweka rekodi ya kuwa na mtakatifu ambaye alikua anaonekana sehemu mbili kwa wakat mmoja.
Eg: Muda huu anaweza kua yupo Dar anahubir na muda huo huo yupo kigoma anabatiza.
Kakataa kujibu jamaaa eti fake story duuh.Akijibu nitag
Addition:Umetumia lugha mubashara
Nyagei Bitoz kasababisha huku
Ila ni kweli ukiwazimisha watu huwez tabasam hata kidogoAddition:
Nilichoona kwenye picha ya simba pale...!
Wakati ukawa wanatoka huwezi kutabasamu hata kidogo
Kama unabisha leo kajaribu kutabasamu ukipewa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tayari mkuu!Jibu swali langu ohohoo jifanye hulioni
Ahaaaaaaaaah chiziiiiiii kweliii mkuuuAddition:
Nilichoona kwenye picha ya simba pale...!
Wakati ukawa wanatoka huwezi kutabasamu hata kidogo
Kama unabisha leo kajaribu kutabasamu ukipewa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kakugusa penyeweAhaaaaaaaaah chiziiiiiii kweliii mkuuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kakugusa penyewe
Cc. Shunie
Shunie hajaona ile comment eeh? Haaaaa!Ahaaaaaaaaah chiziiiiiii kweliii mkuuu
Kashaionaaaa ila ameelewaa ni utani[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Shunie akiona ile commet! ! Hahahaa! Kidding mkuu!
JE WAJUA??
Jim Carrey kabla hajawa maarufu alikua anaishi kwenye Volkswagen Van yeye na familia yake
Nimecheka kwa sauti mpaka watu wamenishangaa.Addition:
Nilichoona kwenye picha ya simba pale...!
Wakati ukawa wanatoka huwezi kutabasamu hata kidogo
Kama unabisha leo kajaribu kutabasamu ukipewa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakikuuliza nini? Waambie ndo life la makapuku...! Free-stress zone.Nimecheka kwa sauti mpaka watu wamenishangaa.
Umetoa fact ya ukweli [emoji817]
JE WAJUA??
Michael Jackson alitaka kufanya Harry potter mussical lakini J.k. Rowling alikataa