Makapuku Forum

1989 - Marko Marin anazaliwa.

Kiungo wa zamani wa Chelsea kutoka nchini Chelsea.

Katika misimu yake minne aliyokaa Chelsea kuanzia mwaka 2012 mpaka 2016 amekuwa ni mchezaji wa kutolewa kwa mkopo katika klabu mbalimbali kama vile Sevilla, Fiorentina nk

Ametwaa Europa League akiwa na Chelsea pamoja na Sevilla.

Kwasasa anakipiga Olimpiacos ya Ugiriki.
 
 

Jina lake tu linaanza na nuksi{Bad...)
...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…