Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
nipo nae hapa pembeniSafi, lee yupo?
nipo nae hapa pembeniSafi, lee yupo?
Nawwapenda sana nyie washikajiKaribu mkuu jisikie nyumbani apa full maupendo ya kutosha ...kila mtu ni sawa hatuna makuu
Gonga like upate like utani jadi yetu
karibu sana utaelekezwa
tunakupenda pia ww ndio rayvannyNawwapenda sana nyie washikaji
Msalimunipo nae hapa pembeni

anasoma hapa mukongoMsalimu![]()

Mbona huu uzi una pages nyingi
Mbona huu uzi una pages nyingi
Mkuu mbona unanifuatilia, mm nimeuliza tu maana page nyingiHahaha nilijua tu utakuja huku
Hahahaha,duh. Kwelikichwa kiwe hivi matatizo ya gb whatsap au n matatizo gan yanatokea ukitumia gb whatsap mengine utaongezea
Mmmh!shemela wake shunie nimekumiss mpk naumwa
Swali mubasharanaumwa ugonjwa kutomuona shemela shululu
Duh!kweli babu ajifiche hapa,maana mwalimu anaweza kuzimia akimuona babu.Babu alimwambia mjukuu "jifiche, mwalimu wako anakuja, si hujaenda shule leo" mjukuu akamjibu "jifiche wewe, mie nimeomba ruhusa kua wewe umekufa"![]()
Amen Amen Goodnight,sleep well Mukongo!Ahsante Mama Mchungaji.....ubarikiwe nawe pia
Mutu ya Kongo ulijua siko Tanzania nini?Jerry![]()
SawaWe kaanzishe uzi tutakuja
Babu alimwambia mjukuu "jifiche, mwalimu wako anakuja, si hujaenda shule leo" mjukuu akamjibu "jifiche wewe, mie nimeomba ruhusa kua wewe umekufa"![]()
