Makapuku Forum

Nani aliyetuletea hili likocha Jangwani lisilojua kupanga timu wala kufanya sub....kiukweli Yanga ina kikosi kizuri ila kocha ndo tatizo ndio maana morali ipo chini maana wanaona hajui afanyalo
Kwa likocha hili tutaenda. Zambia kukalishwa tu

Bring back babu Pluijm
.........
 
Upo sahihi bado tunatawaliwa na wazungu na kufuata matakwa yao na kila penye vurugu na vuguvugu kuna mkono wa Wamarekani na washirika wao

Kila chaguzi huqeka mkono
......
 
Mtamkumbuka mzungu wenu na bado mwaka wenu huu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…