halaf mushenga mm sinaga vigezo hivyo sbbu smart au nn me naangalia mtu ananipenda vipi na kunicareTatizo hamtumii machale yenu, nafsi inakwambia NO wewe unaenda kwa7bu yupo smart, mrefu n.k lazima uumie maana kila du anataka vigezo hivyo nae anajiona hot-cake
hao sio type yangu kabisa hivi naanzaje mmMasharo sio issue!!!
Tatizo hamtumii machale yenu, nafsi inakwambia NO wewe unaenda kwa7bu yupo smart, mrefu n.k lazima uumie maana kila du anataka vigezo hivyo nae anajiona hot-cake
leo emoji tu za kucheka umefurahiii
Mmmmmhhao sio type yangu kabisa hivi naanzaje mm
Ila mwanamke ukimwangalia mwanaume machoni lazima ujue ana-fake!halaf mushenga mm sinaga vigezo hivyo sbbu smart au nn me naangalia mtu ananipenda vipi na kunicare
Kuwa kiongozi mzuri na kudumu katika siasa HASA HIZI ZA AFRIKA ni pamoja na kusoma alama za nyakati na kujishabihisha nazo. Ukiwa ngangari sana wakati mwingine unaweza kupoteza uoni hata ukasahau lengo halisi la harakati zako. Mfano mzuri ni Savimbi. Alipewa umakamu wa rais akakubali lakini baadaye akageuza gia angani akaamua kurejea msituni kupigana. Kumbe upepo ukawa umebadilika na wafadhili wake wa Kimarekani wakawa hawana umuhimu naye tena kwa sababu tayari Do Santos alikuwa amekubali kuwauzia mafuta Wamarekani na vuguvugu la vita baridi lilikuwa limekwisha. Matokeo yake akaishia kuuawa na kuzikwa kama mbwa, na leo hii yupo huko anajiozea katika shimo la historia.
Aliniboa alipokubali serikali ya mseto wakati uchaguzi alishinda halafu akafanyiwa figisu
Waafrika hatujitambui
...
kwan ww n sharobaroMmmmmh
inategemea kama hakupendi lazima afake na mtu kama hakupendi utajua tu mushengaIla mwanamke ukimwangalia mwanaume machoni lazima ujue ana-fake!
Ataa sijuiiikwan ww n sharobaro
Mmiiyaan ww
Hili gazeti lishazua balaainategemea kama hakupendi lazima afake na mtu kama hakupendi utajua tu mushenga
ww ndioMmii
hahahahAtaa sijuiii
halijazua balaa limeandika vizuri sanaHili gazeti lishazua balaa
Umejibu maswali ya papaa??halijazua balaa limeandika vizuri sana
ambayo sijajibu utanijibia nakutegemeaUmejibu maswali ya papaa??
Weeeee ujibuuu weweambayo sijajibu utanijibia nakutegemea