1940 - Chuck Norris anazaliwa.
Ni mwanajeshi wa zamani wa Jeshi la Anga la Marekani.
Ni staa wa filamu kutoka Hollywood nchini Marekani.
Baadhi ya Filamu zake ni kama, Missing In Action ambazo zipo part I, II na III.
Pia kuna Delta Force, na mfululizo tamthilia za Walker Texas Rangers.
1952 - Morgan Tsvangirai anazaliwa.
Kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe.
1957 - Osama Bin Laden anazaliwa.
Kiongozi wa zamani wa Kundi la kigaidi Al Qaeda.
Aliisumbua sana Marekani, ni baada ya kulipua majengo ya WTC mwaka 2001.
Alifariki Dunia mwaka 2011 huko Abbottabad nchini Pakistani.
Nawe pia.Leo katika Historia:
Niwatakie Ijumaa njema, na maandalizi mema ya Wikendi.
Thanks God Its Friday. TGIF
Nae ni msakatonge tu. Hana jipya.
Aliniboa alipokubali serikali ya mseto wakati uchaguzi alishinda halafu akafanyiwa figisu
Waafrika hatujitambui
...
1981 - Samuel Eto'o anazaliwa.
Mshambuliaji wa zamani wa Real Madrid, Barcelona, Inter Milan, Chelsea.
Ametwaa taji la Uefa Champions League mara 3 akiwa na Barcelona na Inter Milan.
My role model huyu, alikua binge la hb ila matendo duu
Mzee wa sept 11
....
Ndio zaao wazungu
Figisu za wazungu zilimuondoa Barca
.....
1985 - Lassana Diarra anazaliwa.
Kiungo mkabaji wa zamani wa Arsenal, Portsmouth, Chelsea, Real Madrid, Marseille na timu ya taifa ya Ufaransa.
Ametaa ubingwa wa F.A Cup mwaka 2007 akiwa na Chelsea na ubingwa wa F.A mwaka 2008 akiwa na Portsmouth.
Morning Mama Mchungaji.....tafadhali usi-quote magazeti, tena mengi hivyo, bora lingekuwa 1-2Morning Mkuu Lee umeamkaje ?Ubarikiwe sana uwe Na ijumaa njema ya furaha Na mafanikio.
Wapendwa nawatakia ijumaa njema,kwa wagonjwa poleni sana mtapona matibabu muhimu na maombi kwa Mungu Baba,wanaopitia changamoto yoyote amini hauko peke yako usikate tamaa bado lipo tumaini tafuta ushauri, usiwaze peke yako Na naomba Mungu akutie nguvu,Mungu abariki kazi za mikono yenu ufanikiwe mbarikiwe sana sana .
Morning EngineerMorning all kapuku
Merci PapaaNawatakieni ijumaa njema makapuku wote
ManyauAisee kwa Barthez nmekumbuka vituko vyake anaacha goli anaenda kucheza na yy mara ngoma inapigwa na wakat huo keshachelewa kurudi golini inakuwa goli hahahaha japo mm sio shabiki wa Manyau ila nlkuwa nampenda sana yule golikipa
Happybirthday Chuck Norris1940 - Chuck Norris anazaliwa.
Ni mwanajeshi wa zamani wa Jeshi la Anga la Marekani.
Ni staa wa filamu kutoka Hollywood nchini Marekani.
Baadhi ya Filamu zake ni kama, Missing In Action ambazo zipo part I, II na III.
Pia kuna Delta Force, na mfululizo tamthilia za Walker Texas Rangers.
Aling'ara sana Barcelona1981 - Samuel Eto'o anazaliwa.
Mshambuliaji wa zamani wa Real Madrid, Barcelona, Inter Milan, Chelsea.
Ametwaa taji la Uefa Champions League mara 3 akiwa na Barcelona na Inter Milan.
Ahsante Musso.....naona leo kuna matukio yaloshibaLeo katika Historia:
Niwatakie Ijumaa njema, na maandalizi mema ya Wikendi.
Thanks God Its Friday. TGIF