Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ninachokiamini marehemu hufa na chake sasa hao wageni watamsumbua tu msimamizi wa mirathi bure maana akishakana hajui lolote kuhusu madeni atavunja nguvu zao hata wakishtaki maana mshtakiwa hayupo
Kisheria deni halifi
Mdaiwa akifa deni bado lipo palepale ilimradi mkataba/ushahidi uwepo

Kabla ya kugawanywa mali za marehemu au kuteua msimamizi wa mirathi madeni hulipwa kwanza

Hata yule mfanyabiashara ya vieoba aliyejiua km ni kweli alichukua mkopo benki basi deni lake bado lipo palepale

Km unamdai mtu halafu ikitokea kafariki bado haki yako ipo palepale kisheria

....
 
d43478456f6d6d5aed461777e89d4b24.jpg


Zimbabwe's Robert Mugabe Is Still Very Much Alive

Pitia hapo wakuu
wanamchulia comrade!
 
1975 - Juan Sebastian Veron anazaliwa.

Kiungo wa zamani wa Lazio, Man Utd, Chelsea na timu ya taifa ya Argentina.

Alitajwa kama kiungo bora enzi akiwa Lazio hali iliyofanya Man Utd kumsajili kwa dau nono lakini usajili huo ukageuka moja ya sajili mbovu za muda wote.

Akatimkia zake Chelsea nako mambo yakawa mabaya.
 
1997 - Rapa Notorius B.I.G anauwawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana.

Kifo chake kinahusishwa na kulipa kisasi kutokana na mauaji ya Tupac.

Ni miaka 20 sasa bado mpaka leo haijulikani ni nani alimuua Biggie kama ambavyo isivyojulikana aliyemuua Tupac.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom