Makapuku Forum

JE WAJUA??
Kuna meli (Cruise Ship) inayoitwa "The wold" ambayo kuna watu wanao ishi ndani daima kama makazi yao huku ikisafiri duniani kote
 
Na utakufa tu
Mi naogopa maradhi yanayotesa km kansa,ukimwi,kiharusi n.k
Kufa siogopi sababu ni kitu cha lazima isipokuwa naogopa kuteswa na magonjwa tu
....
najua nitakufa tu lkn ndio naogopa
 
Na utakufa tu
Mi naogopa maradhi yanayotesa km kansa,ukimwi,kiharusi n.k
Kufa siogopi sababu ni kitu cha lazima isipokuwa naogopa kuteswa na magonjwa tu
....
Eti ukishazikwa wamekufukia MUNGU anakuamsha, unaanza kupambana na maudongo yaliyo kufinya + joto duuuuh Shunie kazi unayo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…