Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,516
- 40,625
Sogea hapa nikunong'eze [emoji3]Sijakuelewa mkuu
Sogea hapa nikunong'eze [emoji3]Sijakuelewa mkuu
Nimeamka Salama, u hali gani?Njema umeamkaje
Amen.....[emoji120]Nawe pia uwe na siku njema ubarikiwe
Nitanunua mwenyewe, we nrushiehahahhh mwanamke mtata ww twende kwa mangi basi au unataka wapi
Unakosea, nipe ukweli wangu nijirekebishehahahhhh tuachane nayo siku nyingine nitakushtua
nakutumia dear kwenye tigo au voda halaf mtata kama Babu yako sijui ndio wanasema ukiwa karibu na mtu lazima tabia zifanane [emoji23]Nitanunua mwenyewe, we nrushie
hahahah kaka bwana haujakosea mbona jamaanUnakosea, nipe ukweli wangu nijirekebishe
Lee unanichukuliaje mkuu Quigley bado sanaUna mengi ya kuongea ila huna jinsi
Quigley njoo
Mmmmmmh ebu mtumie ile ....utume kwangu
Domo zege[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Lee unanichukuliaje mkuu Quigley bado sana
hahaahaahhhhDomo zege[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
nimtumie nanMmmmmmh ebu mtumie ile ....
NshampatiaaAcha kubip mpe Shunie anitumie
Duuh leo umenivua nguo kweli, harakati nazo zifanya humu jf hua unanisaidia eehDomo zege[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Heheeeeeeeenakutumia dear kwenye tigo au voda halaf mtata kama Babu yako sijui ndio wanasema ukiwa karibu na mtu lazima tabia zifanane [emoji23]
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]aisee kwahiyo hela ya redbull itolewe kwenye posa [emoji134] [emoji134] nimepatikana kwakweli
Nahisi niliyompa utakunywa kwa wiki nzimaHeheeeeeeee
Umenishinda tabia, tuma kwenye voda
hahahahh sawa mamaHeheeeeeeee
Umenishinda tabia, tuma kwenye voda
aiseeee[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] iliyobaki ataandika upande wa debut
Kamumis sakayoshululu tena kafanyaje